Mtambo huu una Kamua mafuta ya alizeti, ufuta na mbegu nyingine. Kwa lisaa limoja una weza kukamua au kuzalisha lita 50 mpaka 100 (Lita 50 mpaka 500 k...
Kabati la kando ya kitanda cha mgonjwa ni muhimu sana kwa kuhifadhia dawa, mizigo, chakula na vitu vingine muhimu, kabati hili limetengenezwa kwa vifa...
Mashine zinazotengenezwa na taasisi ya uhandisi na usanifu mitambo tanzania ni mashine bora sana na imara na zinazofaa kwa mazingira ya kitanzania kutokana na tekinolojia wanayotumia kutengeneza mashine hizo.