Kiteketezi cha Taka za Hospitali

News Images

Hosipitali zina zalisha taka ambazo ni hatarishi kwa binadamu kwani zina weza kuambukiza au kusababisha magonjwa kama azita teketezwa au kuaribiwa kikamilifu. Mtambo huu una tumika kuchoma na kuteketeza taka za hosipitali, baada ya kuteketezwa zinakuwa hazina madhara kwa binadamu wala mazingira. kiteketezi hiki kina uwezo wa kuteketeza kiasi cha kilo 50 mpaka 60 kwa saa..

Biomedical hospital waste incinerator
description.
• Rated capacity: 50-60Kg/hr.
• Dimensions:
- 1330 x 1330 x 550 (LXHXW) mm
• Weight-3,500kgs

Main features:
1. Primary chamber - (Temp. 700C)
2. Secondary chamber- (Temp. 1000C)
3. Burners – two burners uses diesel.
4. Control system- Temperature control
5. Chimney - exhausting hot flue gases