Machine ya Kukamua Mafuta ya Alizeti na Mbegu Nyingine za Mafuta
Mazao ya mbegu za mafuta ni chanzo kikuu cha mafuta ya kula nchini. Baadhi ya mazao hayo ni alizeti, ufuta, karanga, kartamu, nazi na michikichi. Mafuta hupatikana kutokana na usindikaji wa mbegu za mazao hayo pamoja na mazao mengine kama vile mahindi na soya. Mashine hii ina uwezo wa kukamua lita 200 mpaka 250 kwa Saa.