Mashine ya Kutoa Mbegu kwenye Nyanya
Mashine hii inatenganisha na kutoa mbegu kwenye nyenya. Mbegu hizi uandaliwa kwa ajili ya kuuza kwa wakulima waoteshaji wa nyanya. Mashine ina uwezo wa kutenganisha kila hamsini (Kilo 50) za nyanya kwa dakika kumi.