Habari

Tangazo la mnada wa Hadhara

Mnada wa hadhara wa Magari chakavu Tarehe 14/09/2022... Soma zaidi

Imewekwa: Sep 01, 2022

TEMDO ya Ng'ara Maonesho ya Nane Nane Kanda ya Kaskazini

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko Dkt. Sigisbert Mmasi akielezea Tecknolojia zilizo buniwa, Kusanifu na Kutengenezwa na TEMDO kwenye kipindi Maalumu kilicho andaliwa na Radio ya TBC Arusha kwaajili ya Maonesho ya Nane Nane.... Soma zaidi

Imewekwa: Aug 04, 2022

SENSA

TEMDO inawakumbusha Watanzania Wote kujiandaa kuhesabiwa kwenye sensa ya Watu na Makazi 23 - 08 - 2022 kwa Maendeleo ya Uchumi wa Taifa.... Soma zaidi

Imewekwa: Jun 20, 2022

TEMDO ni Taasisi "Silaa/Muhimu" katika maendeleo ya Viwanda nchini

Waziri wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu K. Kijaji na Naibu Katibu Mkuu (Dkt. Hashil T. Abdullah) wakipata maelezo ya Mtambo iliyo Buniwa na Kusanifiwa na TEMDO... Soma zaidi

Imewekwa: Jun 02, 2022

Kwa sasa TEMDO inavifaa Tiba vyenye ithibati zaidi ya kumi na tano (15) vyenye ithibati ya TMDA

Kwa sasa TEMDO inavifaa Tiba vyenye ithibati zaidi ya kumi na tano (15) vyenye ithibati ya TMDA. Lengo kuu la kutengeneza Vifaa Tiba ni ili kupunguza matumizi ya fedha za kigeni kuagiza nje ya nchi, kuongeza Ajira za ndani na kurahisisha upatikaniji wa bidhaa kirahisi na kwa bei nafuu.... Soma zaidi

Imewekwa: May 26, 2022

Kiwanda Kidogo cha Kuchakata Sukari

Kiwanda kitakuwa na uwezo wa kuchakata Tani 20 za Sukari kwa Siku ambazo ni sawasawa na Tani 200 za Miwa... Soma zaidi

Imewekwa: May 19, 2022