Habari

Imewekwa: Mar, 08 2024

Siku ya Wanawake Duniani

News Images

Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani,katika mkoa wa Arusha yamefanyika leo tarehe 08/03/2024 kuanzia ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Ambapo wafanyakazi wanawake wa Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Temdo wameshiriki katika kilele cha Maadhimisho hayo. Na kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni " Wekeza kwa wanawake,, kuharakisha Maendeleo ya Taifa na Ustawi wa Jamii'.