Mtambo wa kuzalisha kuni

News Images

TEMDO imeunda na kufanya majaribio ya teknolojia ya kutengeneza kuni na mkaa unaotokana na mabaki ya mimea kama maranda ya mbao, pumba za mpunga na karanga n.k, Mtambo huu una weza kuzalisha kilo elfu moja kwa siku (1000kg)