Mashine ya Kukamua Mafuta ya Mchikichi (Mawese)

News Images

Usagaji mafuta ni mchakato wa kutoa mafuta ya mawese kwenye tunda kupitia kupasuka au kuvunjika kwa seli zenye kuzaa mafuta. Digester inayotumiwa kwa kawaida huwa na shimoni ya kati inayozunguka inayobeba idadi ya vikunjo ambavyo upiga piga matunda ya mawese na kukoroga. Kabla mawese hayaja wekwa kwenye mashine uchemshwa kwenye nyuzi joto la juu lengo nikusaidia mafuta yatoke kirahisi. Mashine ina uwezo wa kutoa mafuta kwenye mbegu zenye uzito wa kilo hamsini (Kilo 50) kwa mkupuo mmoja

.