Mashine hii ina uwezo wa Kukamua Lita 200 mpaka 250 kwa Saa
Shelling maize seeds from the cobs
Mashine hii inatumika kukamua juisi kutoka kwenye matunda ya haina mbali mbali, kama vile Machungwa, Maembe, Mananasi, Zabibu n.k
Mtambo wa kuzalisha kuni na mkaa kutoka kwenye mabaki ya mimea
Mtambo huu una Kamua mafuta ya alizeti, ufuta na mbegu nyingine. Kwa lisaa limoja una weza kukamua au kuzalisha lita 50 mpaka 100 (Lita 50 mpaka 500 k...
Mtambo huu una tumika kuchoma na kuteketeza taka za hosipitali.
Mashine hii ina toa mafuta ya mchikichi kutoka kwenye matunda ya mchikichi
Mashine hii ina Pura matunda ya michikichi kutoka kwenye mkungu wake
Mashine hii inatenganisha na kutoa mbegu kwenye nyenya
Ni Mashine inayotumika na Viwanda Vidogo na Vyakati kwaajili ya kuandaa mchuzi wa zabibu kwaajili ya kutengenezea mvinyo
Kitanda hiki kimeundwa kwa matumizi katika chumba cha wagonjwa kwaajili ya Kulala na kujifungulia wanawake wajawazito.
Kabati la kando ya kitanda cha mgonjwa ni muhimu sana kwa kuhifadhia dawa, mizigo, chakula na vitu vingine muhimu, kabati hili limetengenezwa kwa vifa...
Kitanda chenye Muundo Mahalumu wa Kumsaidia Mgonjwa wakati wa Uchunguzi wa matibabu
Kitanda hichi utumika kwaajili ya kumlanza mgonjwa
Stendi hii utumika kushikia mifuka ya maji, damu n.k