Habari

Imewekwa: Sep, 27 2023

Mafunzo ya Uanzishwaji na Uendeshaji wa Viwanda Wilaya ya Kishapu

News Images

TEMDO imetoa Mafunzo kwenye Maonesho na Mafunzo ya Biashara ya Mitambo na Mashine za Uzalishaji wa Bidhaa za Viwanda, Kilimo, Mifugo na Bidhaa zinginezo kwenye ukumbi wa SHIRECU yalio andaliwa na Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ya Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu.