Habari
Imewekwa:
Jul, 22 2023
Uongozi na Watumishi wa TEMDO wanapenda kumpongeza Mjumbe wa Bodi Dkt. Liliane Joseph Pasape.

Uongozi na Watumishi wa Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO) wanapenda kumpongeza Mjumbe wa Bodi Dkt. Liliane Joseph Pasape kwa kupandishwa cheo cha Kitaaluma na Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM -AIST) kutoka Mhadhiri Mwandamizi " Senior Lecturer" kuwa Profesa Mshiriki "Associate Professor ". "Hongera sana Prof. Pasape".