Habari

Imewekwa: Apr, 19 2023

TEMDO ya Fanikisha kuweka Vitanda kwenye Wodi ya Wogonjwa

News Images

Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO) ina tengeneza Vifaa Tiba vya aina 10 kama vile Vitanda vya kujifungulia Wamama Wajawazito, Vitanda vya Kukagulia Wagonja n.k, habari picha ni vifaa vilivyo fungwa kwenye Wodi ya wagonjwa Katika moja ya hospitali zilizoko humu nchini Tanzania.