Habari
Imewekwa:
Sep, 01 2022
Tangazo la mnada wa Hadhara

- Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO) anawatangazia Wananchi wote kutakuwa na mnada wa hadhara wa Magari chakavu Tarehe 14/09/2022 kuanzia saa 4.00 asubui katika ofisi za TEMDO - Njiro Arusha ploti namba 214. Kwa maelezo zaidi soma kwenye kiambatanisho au kwenye gazeti la Mwananchi la Tarehe 01/09/2022, Wote mnakaribishwa.