Habari
Imewekwa:
Jun, 20 2022
SENSA

TEMDO inawakumbusha Watanzania Wote kujiandaa kuhesabiwa kwenye sensa ya Watu na Makazi 23 - 08 - 2022 kwa Maendeleo ya Uchumi wa Taifa.