Habari
Imewekwa:
May, 08 2023
Kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa Wizara na Taasisi zake

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdalah akifungua kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa Wizara na Taasisi zilizo chini ya Wizara kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wa pamoja na uandaaji wa jarida la mwaka 2022/2023 la Wizara na Taasisi zake.