Mashine ya Kuzalisha Kuni

News Images

Mashine hii ina zalisha kuni kutoka kwenye mabaki ya Mimea kama vile mabaki ya mpunga (rice husks), Maranda ya mbao (sawdust), Mabaki ya karanga (groundnut husks).Ina uwezo wa kuzalisha kilo mia na ishirini kwa saa (120kg/hr)