Habari
Imewekwa:
Jun, 17 2021
Mafunzo ya uzalishaji wa umeme wa upepo TEMDO

Washiriki kutoka Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) na Mbeya (MUST) wakifuatilia mafunzo ya Umeme utakanao na Upepo yanayotolewa na Mhandisi Patrick Kivanda wa TEMDO. Mafunzo hayo yalifanyika katika Jengo la TEMDO – Arusha.