Habari

Imewekwa: Jun, 22 2021

Shirika la Mzinga wakiwa TEMDO

News Images

Watalamu wa Shirika la TEMDO na Mzinga Cooperation wakiwa kwenye kikao kazi cha kuaulisha tecknolojia (technology transfer) ya kiteketezi cha taka za hosipitali (Biomedical Hospital Waste Incinerator) na tecknolojia ya kutengeneze kuni na mkaa kutoka kwenye mabaki ya mimea ( Biomass Briquetting Technology). Lengo kuu la kuhaulisha tecknolojia hizi ni ili zitengenezwa kibiashara na Shirika la Mzinga Cooperation.