Habari

Imewekwa: Jun, 17 2021

Naibu Waziri wa Viwanda & Biashara katika banda la TEMDO

News Images

Naibu Waziri wa Viwanda & Biashara Mh. Exaud Silaoneka Kigale (kulia) akipata maelezo ya Ubunifu na Usanifu wa Mashine na Mitambo inayotengenezwa na TEMDO katika Maonesho yalio ratibiwa na SIDO Mkoa wa Manyara. Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano TEMDO Dkt. Sigisbert Mmasi (katikati), alimweleza Mh. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara kuwa kwa sasa Taasisi imetengeneza Viwanda zaidi ya vitano vilivyo kamilika kwa ajili ya kuviuza kwa wajasirimali wanao taka kuwekeza kwenye Viwanda kama vile kiwanda cha kuchakata siagi ya Karanga, mafuta ya Alizeti, Ufuta na Mawase, Viongo vya Chakula, Unga wa Lishe, Nishati Mbadala, Mvinyo wa Zabibu na Juisi ya Matunda ya aina mbali mbali. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TEMDO Mh. Prof. Eng Frederick Casian Kahimba,