Habari
Imewekwa:
Jun, 30 2021
Mtambo wa kufyatulia matofali wasimikwa Dodoma

Mtambo wa kufyatulia matofali (wenye jumla ya mashine ndogo nane)ukisimikwa kikamilifu, na kuwashwa Jijini Dodoma na wataalamu kutoka TEMDO. Mtambo huwa wa kufyatua matofali umesanifiwa na kujengwa na Taasisi ya TEMDO na kuuzwa kwa mteja wa jijini Dodoma tayari kwa kuanza uzalishaji wa matofali ya aina mbalimbali.